MWENGE WAMALIZA MBIO ZAKE MKOA RUKWA, KESHO KUKABIDHIWA MKOA WA KATAVI.
| Baadhi ya wananchi wa kijiji cha Ntuchi wilayani Nkasi waking'ang'ania kuuchika mwenge wa uhuru mara baada ya kutembelea kijiji hicho na kiongozi wa mbio hizo kuzindua mradi soko la mifugo. |


No comments