WAZIRI WA NISHATI NA MADINI PROF. SOSPETER MUHONGO ALIVYZINDUA MRADI WA UMEME MJINI NAMANYERE.
Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo (katikati),Mbunge
wa Nkasi Ally Keissy ikiwa ni pamoja na wawakilishi wa wakazi wa Nkasi
wakibonyeza kitufe kwa pamoja kuashiria uzinduzi wa mradi wa umeme wa
katika mji wa Namanyere wilayani Nkasi mkoani Rukwa juzi.
Waziri wa Nishati na Madini Prof. Sospeter Muhongo akiongea na baadhi ya viongozi wa Serikali ya Mkoa wa Rukwa na Wilaya ya Nkasi juzi juu ya upatikanaji wa umeme katika bandari mpya inayoendelea kujengwa ya Kipili Wilayani humo.
Waziri wa Nishati na Madini Prof. Sospeter Muhongo akiwa ameshikilia kinyago cha mfano wa mtoto na mmoja ya wanakikundi cha ngoma za asili cha Kanondo cha Mkoani Rukwa baada ya kufurahishwa na uchezaji wa ngoma ya kikundi hicho inayoelezea malezi bora kwa watoto.

No comments