Breaking News

TRA RUKWA YAADHIMISHA WIKI YA MLIPAKODI KWA KUTOA MISAADA KWA WENYE MAHITAJI.

Watumishi wa mamlaka ya mapato mkoa wa Rukwa, wakikadhi misaada kwa walezi wa kituo cha watoto yatima cha Bethania kilichopo kijiji cha Kanondo nje kidogo ya Manispaa ya Sumbawanga, zoezi hilo zimefanyika ikiwa ni sehemu ya shughuli wanazotekeleza katika kuadhimisha wiki ya mlipakodi.

Mameneja wa Mamlaka ya mapato mkoa wa Rukwa (TRA) wakizungumza na viongozi wa hospitali ya mkoa wa Rukwa kabla ya kukabidhi misaada mbalimbali kwaajili ya wagonjwa, hiyo ni katika kuadhimisha wiki ya mlipakodi.

No comments