Breaking News

Waziri wa Maliasili na Utalii, Ezekiel Maige akiangali moja ya meno ya tembo ambayo walikamatwa nayo majangili ndani hifadhi ya taifa ya Katavi, pia walikamatwa na silaha za kivita wanazotumia kufanya uwindaji haramu kama wanavoonekana. Picha na Mussa Mwangoka.

No comments