Breaking News

HAPA KAZI TU, HUKU TUNAKWAMUA GARI LIMEKWAMA KATIKA TOPE.

Wakazi wa Matai, Leonard Creophas na Chipala Joseph walikutwa juzi katika eneo la Matai wilayani Sumbawanga wakipasua mbao ili waweze kuuza na kujipatia kipato ambapo mbao moja uuzwa kati ya Sh 1500 na 2000 kutegemea na aina ya mti uliopasuliwa mbao, pembeni yao ni waandishi wa habari, kulia ni Sammy Kisika na Peti Siyame.
Mwandishi wa habari, Sammy Kisika pili kutoka kulia akiwasaidia  wafanyakazi wa gari ndogo kulikwamua gari hilo baada ya kukwama katika tope, kwenye barabara ya Katuka - Milanzi wilayani Sumbawanga, hali hiyo imejitokeza kufuatia barabara za mkoa huo kuharibika kutokana na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha.

No comments