Breaking News

WAZAZI NA WALEZI WAENDELEA KUCHANGAMKIA SARE ZA SHULE KWAAJILI YA WATOTO WAO.

Mmoja wa wazazi akiangalia sare kwaajili ya kumnunulia mtoto wake leo katika soko la Mandela lililopo mjini Sumbawanga, muhula mpya wa masomo umeanza tangu jana baada ya kufunguliwa kwa shule za msingi na Sekondari nchini kote.

No comments