Breaking News

Baadhi ya wazazi na wanafunzi wakiangalia vifaa vya shule leo ili waweze kununulia mtoto wake katika soko la Mandela lililopo mjini Sumbawanga, muhula mpya wa masomo umeanza tangu jana baada ya kufunguliwa kwa shule za msingi na Sekondari nchini kote.

No comments