SIDO YATOA MAFUNZO KWA WAJASILIAMALI WA VIJIJINI, RC RUKWA ATOA MADA AKONGA NYOYO ZA WASHIRIKI.
Mkuu wa mkoa wa Rukwa, Mhandisi Stella Manyanya akikabidhi moja ya kifaa cha ufundi uashi kwa Joseph Sindazya, muda mfupi kabla ya kufunga mafunzo ya ujaliamali kwa washiriki wa wilaya ya Sumbawanga yaliyofanyika katika mji wa Matai ambayo yaliandaliwa kwa ushirikiana sido mkoa wa Rukwa kwa ushirikiano na Shirika la Tools For Self Reliance la Uingereza. |
No comments