Picha za mafunzo ya semina ya matumizi ya Intaneti yaliyoandaliwa na Misa kwa waandishi wa habari wa mkoa wa Rukwa yaliyofanyika kwenye ukumbi wa Chuo kikuu huria mjini Sumbawanga.
| Washiriki wakiwa katika picha ya pamoja |
| Mwandishi wa habari na mwakilishi wa Clouds Media, Gurian Adolf akifutialia kwa vitendo masomo ya Intaneti. |
| Mratibu wa mafunzo ya Intaneti kutoka Taasisi ya waandishi wa habari kusini mwa afrika tawi la Tanzania (Misa Tan) akiwa Busy katika mitandao wa Intaneti. |
| Waandishi wa habari , Crisensia Wasulwa kutoka kituo cha Redio Chemchem Sumbawanga na Mussa Mwangoka mwandishi wa gazeti la Mwananchi mkoa wa Rukwa wakifuatilia kwa makini mafunzo hayo |
| Washiriki wakiwa makini kufuatilia mazoezi ya vitendo katika mafunzo ya matumizi ya Intaneti |


No comments