Breaking News

Mkazi wa kijiji cha Makuzani kata ya Msanda Muungano wilayani Sumbawanga mkoani Rukwa, akipima mafuta ya Petroli tayari kwaajili ya kuuuza bidhaa hiyo kwa bei ya rejareja, mafuta ya Petroli yamekuwa wakiadimika mara kwa mara mkoani humo. Picha na Mussa Mwangoka.

No comments