Breaking News

RC, ALIPOTEMBELEA BANDA LA MAONESHO LA MKOA WA RUKWA, DAR.

Mkuu wa Mkoa wa Rukwa, Stella Martin Manyanya (MB) akisaini kitabu cha wageni katika Banda la Rukwa lililopo katika jengo la Mama Anna Mkapa mara baada ya kuwasili katika viwanja vya Mwl. J.K Nyerere zamani Sabasaba yalipofanyika maonesho ya Miaka 50 ya Uhuru wa Tanzania Bara. Picha kwa hisani ya blog ya mkoa wa Rukwa.

No comments