Breaking News

WAZEE SUMBAWANGA WAZUNGUMZIA MIAKA 50 YA UHURU,

Mwandishi Mkuu wa Blog hii, Bw. Mussa Mwangoka akizungumza na baadhi ya wazee wa Manispaa ya Sumbawanga kuhusu mstakabali wa taifa katika kipindi cha miaka 5o ya uhuru, mazungumzo hayo yalifanyika leo kwenye ofisi za  chama cha Wafanyabiashara, wenye Viwanda na Kilimo Tanzania (TCCIA mkoa wa Rukwa.

No comments