Breaking News

MSHINDI WA PROMOSHENI YA JIVUNIE YA AIRTEL AKABIDHIWA RAV 4 YAKE.

Mkuu wa wilaya ya Sumbawanga, Kanali John Mzurikwao, akimkabidhi funguo ya gari aina ya Toyota Rav4 Mshindi wa Promosheni ya Jivunie, Emmanuel Kapungu mkazi wa kijiji cha Muze, aliyeshinda gari hilo na kukabidhiwa leo mjini Sumbawanga, promoshjeni hiyo iliendeshwa na Kampuni ya Mawasiliano ya simu za mkononi ya Airtel  mwaka 2010.
Mkuu wa wilaya ya Sumbawanga, Kanali John Mzurikwao, akitoa nasaha zake kwa Mshindi wa Promosheni ya Jivunie, Emmanuel Kapungu mkazi wa kijiji cha Muze, aliyeshinda gari na kukabidhiwa leo mjini Sumbawanga, promoshjeni hiyo iliendeshwa na Kampuni ya Mawasiliano ya simu za mkononi ya Airtel  mwaka 2010.
Baadhi ya wakazi wa Manispaa ya Sumbawanga, leo wakiwa wameizingira gari aina ya Toyota Rav4 muda mfupi baada ya Kampuni ya mawasiliano ya Simu za mkononi ya Airtel kumkabidhi, Emmanuel Kapungu mkazi wa kijiji cha Muze, aliyoshinda katika promotioni ya jivunie iliyoendeshwa na kampuni hiyo mwaka 2010. Picha na Moses Ng'wati.

No comments