| Mvua zinazoendelea kunyesha katika mkoa wa Rukwa, zimesababisha kuharibika kwa miundombinu ya barabara kwenye maeneo mbalimbali ya manispaa ya Sumbawanga, pichani barabara ya eneo la majengo iliyotengezwa kwa kiwango cha changalawe miezi minne iliyopita inaonekana kuharibika vibaya kiasi cha kutopitika na magari. |
No comments