Breaking News

TUNASUBIRI MUDA UFIKE TWENDE KUWAJULIA HALI WAGONJWA.

Baadhi ya watu wakiwa nje ya lango kuu la kuingilia katika Hospitali ya mkoa wa Rukwa iliyopo mjini Sumbawanga leo wakisubiri kupata ruhusa ya kuingia hospitalini hapo kwaajili kuwaona wagonjwa.

No comments