Breaking News

MAKAMU WA RAIS ZIARANI RUKWA.


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Munngano wa Tanzania, Dk.Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana viongozi wa Chama cha Mapinduzi na Serikali wa mjini wa Mpanda, mkoa wa Katavi muda mfupi baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Mpanda jana kwaajili ya kuanza Ziara ya kikazi ya siku saba ya kukagua shughuli za maendeleo katika mikoa ya Katavi na Rukwa, kushoto kwake ni Mkuu wa mkoa wa Rukwa, Stella Manyanya.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Munngano wa Tanzania, Dk.Mohammed Gharib Bilal, akiwapungia mkono wananchi wa mjini wa Mpanda, mkoa wa Katavi muda mfupi baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Mpanda jana kwaajili ya kuanza Ziara ya kikazi ya siku saba ya kukagua shughuli za maendeleo katika mikoa ya Katavi na Rukwa, kushoto kwake ni Mkuu wa mkoa wa Rukwa, Stella Manyanya.

No comments