ZIARA YA MAKAMU WA RAIS YAFIKIA TAMATI NA S'WANGA NG'RA
| Makamu wa Rais Dk. Mohamed Gharib Bilal akikabidhi vifaa vya kufanyia usafi kwa mmoja wa watumishi wa idara ya afya manispaa ya Sumbawanga wakati wa uzinduzi wa kampeni hiyo. |
| Mkurugenzi wa Manispaa ya Sumbawanga, William Shimwella, akisoma risala mbele ya Makamu wa Rais, Dk. Mohamed Gharib Bilal, jana wakati wa Uzinduzi wa kampeni ya usafi iitwayo Sumbawanga Ng'ara. |


No comments