UVUNAJI HARAMU WA MAZAO YA MISITU WAKITHIRI KATAVI.
Baadhi ya wahudumu wa Maliasili wakishusha magogo ya miti aina ya mninga kutoka garini na kuyapanga katika eneo la Ofisi ya Halmashauri ya Mpanda mkoani Katavi.
Magogo ambayo thamani yake halisi bado haijafahamika ambayo yamevunwa kinyume cha Sheria yalikamatwa jana usiku katika maeneo mbalimbali wilayani Mpanda. Picha na Peti Siyame

No comments