Breaking News

POLENI SANA WANAHABARI MBEYA KWA MSIBA WA BAKALEMWA

Mwandishi wa Habari wa Star Tv Fredy Bakalemwa enzi za uhai wake.
Taarifa kamili tutawaletea hapa.
  UONGOZI wa blog hii unaungana na ndugu, jamaa na marafiki wa Fredy Bakalemwa ambaye alikuwa mwandishi wa habari wa Star Tv mkoa wa Mbeya, Sisi tukiwa ni sehemu ya Chombo cha habari tunatambua mchango wa Bakalemwa katika Tasnia ya habari. Poleni sana familia ndugu na jamaa pia wadau wote wa habari ambao mmeguswa na msiba huu mkubwa, mwenyezi mungu awape moyo wa uvumilivu katika kipindi hiki kigumu cha maombolezo wa msiba wa mwenzetu.
Pumzika kwa Amani Bakalemwa. 
 
 

No comments