AESHI ALIVYOITEKA SUMBAWANGA JANA
| Wananchi waliojitokeza kwa wingi katika mkutano wa kumtambulisha mgombea wa CCM wa ubunge jimbo la Sumbawanga mjini |
| Mbunge wa Sumbawanga mjini, Aeshi Hilaly akizungumza na wananchi wa mji wa Sumbawanga waliojitokeza katika mkutano wake wa kutambulishwa kuwa mgombea ubunge katika jimbo hilo. |
| Hashimu komba akizungumza katika mkutano wa jana wa kumtambulisha Aeshi Hilaly kuwa mgombea wa jimbo la Sumbawanga mjini. |


No comments