Breaking News

AESHI ALIVYOITEKA SUMBAWANGA JANA

Wananchi waliojitokeza kwa wingi katika mkutano wa kumtambulisha mgombea wa CCM wa ubunge jimbo la Sumbawanga mjini
Mbunge wa Sumbawanga mjini, Aeshi Hilaly akizungumza na wananchi wa mji wa Sumbawanga waliojitokeza katika mkutano wake wa kutambulishwa kuwa mgombea ubunge katika jimbo hilo.
Hashimu komba akizungumza katika mkutano wa jana wa kumtambulisha Aeshi Hilaly kuwa mgombea wa jimbo la Sumbawanga mjini.

No comments